Pages

Alhamisi, 17 Julai 2014

YUSTA LUCAS APATA NAFUU NA KUISHUKURU TAASISI YA WAJIKI KWA HUDUMA YAO

Yusta akiwa mwenye furaha na amani akishukuru kituo cha taarifa na maarifa cha WAJIKI kwa hduma mbali mbali

 

Yusta akishukuru kituo cha taarifa na maarifa cha WAJIKI kwa huduma mbali mbali na kurudi kwenye hali yake ya kawaida


PICHA ZA MAJERAHA YA YUSTA LUCAS BAADA YA KUNG"ATWA NA BOSI WAKE

Huu ni mgongo wa Yusta Lucas ukiwa na majeraha ya menono baada ya kung"atwa na bosi wake


Hili ni jeraha la pasi


Mgongo wa binti Yusta Lucas ukiwa na majeraha mbali mbali ya meno pamoja na pasi

HARAKATI ZA UFUATILIAJI KESI ZA UKATILI WA KIJINSIA

Wanaharakati wa taasisis ya WAJIKI wakibadilishana mawazo nje ya mahakama ya wilaya ya kinondoni


Jumatano, 16 Julai 2014

UFUATULIAJI WA KESI ZA UKATILI WA KIJINSIA


Wanaharakati wa kupinga ukatali wa kijinsia wakiwa nje ya mahakama ya kinondoni wakisubiri kusikiliza kesi inamkabili Amina Maige

mwenyekiti wa taasisi ya WAJIKI Bi. Janeth Mawinza akifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari marabaada ya kusikiliza kesi ya ukatili inayomkabili Amina Maige nje ya mahakama ya kinondoni


KIKAO CHA KAMATI YA GEWE KATA Y MAKUMBUSHO

Viongozi wa Kamati ya GEWE wakiwa kwenye kikao cha tahmini ya robotatu ya mwaka

Alhamisi, 3 Julai 2014

WATANGAZAJI WA CLOUDS FM WATEMBELEA OFISI ZA JIPANGE

kushoto ni Bw.Abel Onesmo mtangazaji wa CLOUDS FM kipindi cha power break fast on saturday akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa kituo cha taarifa na maarifa cha jipange walipotembeleda kituo hicho ili kujuwa hali halisi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia.


WANAHABARI WA CLOUDS FM WATEMBELEA OFISI ZA JIPANNGE

Picha ni Mtangazaji wa CLOUDS FM Phillip Mwihava wakwanza kushoto wapili ni Bi.Janeth Mawinza mwenyekiti wa taasisi ya jipange pia ni mwenyekti wa kituo cha taarifa na maarifa wakatikati ni Bw. Hamadi M.Magomba mwenyekiti msaidizi wa kituo cha taarifa na maarifa na wa mwisho kulia ni katibu Bi. samaha semanga 


 

Blogger news

Blogroll

About